Suche einschränken:
Zur Kasse

17 Ergebnisse.

MATUKIO YANAYOFUATA URUDI WA KRISTO

Hinton, Carl
MATUKIO YANAYOFUATA URUDI WA KRISTO
Kiasi hiki cha noti kilitoka kwa darasa la masomo ya Biblia lililofanywa na Eklezia ya Wilston wakati wa 1979 na 1980 ambayo noti zilitengenezwa na kusambazwa katika kila darasa. Baadaye, noti zilisambazwa kote Australia na nchi za ng'ambo katika muundo wao wa asili, lakini mahitaji ya kuendelea yalisababisha uamuzi wa kuzitoa tena noti hizo kwa saizi na muundo mpya. Inatarajiwa kwamba kijitabu hiki kitathibitika kuwa msaada unaofaa zaidi kwa ...

CHF 32.90

Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii

Hinton, Carl
Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii
Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii. Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada , bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza k...

CHF 27.50

Chemchemi ya Maji ya Uzima ya Kwanza

Hinton, Carl
Chemchemi ya Maji ya Uzima ya Kwanza
Hatua hii ya pili imegawanyika katika sehemu tano. Maelezo haya ni sehemu ya kwanza katika mfululizo huu wa sehemu hizo tano za masomo yanayohusu Habari za Jumla za "Utukufu na Kuanguka kwa Ufalme wa Israeli." Masomo yamechaguliwa ili kwamba tuweze kujifunza kweli ambayo Yesu alifundisha ili kwamba tupate kuwa na hamu ya kupata zaidi ukweli kuhusu Ufalme wa Mungu na jinsi hatimaye tunavyoweza kupata nafasi ndani ya Ufalme ule.

CHF 19.90

Maswali na Majibu

Hinton, Carl
Maswali na Majibu
Wakati wa miaka hiyo ishirini alikuwa akiulizwa maswali mengi kutoka katika Biblia na maswali mengine yalitokana na imani zao kulingana na mafundisho, baadhi ya maswali yamerudiwa rudiwa kuulizwa. Inafikiriwa kuwa majibu ya maswali haya yatakuwa msaada wa maana sana kwa wengine kwa hiyo kitabu hiki kimeandikiwa ikiwa ni mkusanyiko wa majibu ya maswali ambayo yaliulizwa mara nyingi. Hii siyo njia ya kujaribu kuyajibu maswli yote ya viongozi wa ...

CHF 14.90

School of the Prophets - Prophets at work

Hinton, Carl
School of the Prophets - Prophets at work
The concept of a school of the prophets is by no means a new one, indeed the prophet Samuel was the first to initiate such a school. The Christadelphian community are entirely Bible based so it should come as no surprise that we follow this tradition. This course contains teacher training, it is produced not to be prescriptive in how to run an Ecclesia and its meetings it is there to provide frameworks around which you can determine the bes...

CHF 31.50

The Devil and Satan

Hinton, Carl
The Devil and Satan
The Devil and Satan is one of the most talked about Bible topics and yet one of the least understood. In the Global South this misunderstanding has been in part fuelled by bad translation based upon mistakes and misunderstandings carried over from the English translations of the 17th Century. If only the translators had gone back to the original Hebrew and Greek texts rather than using the English as the basis, then many of the resulting doctr...

CHF 46.50

Ushirika

Hinton, Carl
Ushirika
Ushirika wa Christadelfia ni maalum, sisi ni tofauti na kikundi kingine chochote ulimwenguni. Jamii yetu sio kanisa kama kanisa lingine lolote ambalo liko karibu nayo. Ni ya kipekee katika muundo wake, na ya kipekee katika muundo wake. Eklesia ya Christadelfia haina safu ya Maaskofu, Mashemasi, Wachungaji, Wababa, Mapapa, Walimu, Rabi, Kohan au Makuhani, hakuna mwanachama aliye muhimu kuliko mwingine yeyote (Wagalatia 3:28), na Kristo anaoneka...

CHF 27.90

Fellowship

Hinton, Carl
Fellowship
The Christadelphian fellowship is special, they are unlike any other group in the world. Their community is not a church like any of the other churches that are around it. It is unique in its structure, and unique in its make up. A Christadelphian Ecclesia does not have a hierarchy of Bishops, Deacons, Pastors, Fathers, Popes, Teachers, Rabbi or Priests, no member is more important than any other (Galatians 3:28), and Christ is seen as the hea...

CHF 27.90

Biblia Maoni - Nne - Bible Commentary - Four

Hinton, Carl
Biblia Maoni - Nne - Bible Commentary - Four
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15.He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years, at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region.Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia.He has authored and publi...

CHF 19.50

Fountain of Living Waters (English)

Hinton, Carl
Fountain of Living Waters (English)
This four Stage Course of Bible Study is designed to take us through the entire Scriptures of Truth. Each of the first three stages consists of one hundred and twenty-five lessons, constructed to gather in the main points of the Bible Story as it flows and unfolds. The fourth stage consists of 1189 lessons one based upon each chapter of the entire Bible. This second stage is broken down into five sections. These notes cover the general theme o...

CHF 37.50

Questions and answers

Hinton, Carl
Questions and answers
The author of this book has been travelling to Tanzania as a missionary since 1991. During that period he has been asked many Bible based and faith centred questions, some of which are repeatedly asked. It is thought that the answers to these repeated questions may be usefully contained in a pocket sized booklet for others to keep with them at all times so that they might give a 'ready answer' to those that ask. For this reason this booklet ha...

CHF 11.90

Biblia Maoni - Pili - Bible Commentary - Two

Hinton, Carl
Biblia Maoni - Pili - Bible Commentary - Two
Swahili Language Bible Commentary - Book 2 of 5Joshua to EstherThe author of this book has been traveling to Tanzania as a missionary since 1991 at one point spending the entire year moving from town to town preaching and teaching teachers how to teach. I have many people to thank for this work in particular my life time companion Danielle for her commitment encouragement and good food. Brother Jonathan Nkombe my "son in the faith" for his unt...

CHF 18.50

Holy Spirit (English)

Hinton, Carl
Holy Spirit (English)
The historic background beliefs and culture of Africa is that of the spirit world, magic and occultism, belief in the spirits of plants, animals, trees and nature itself. Belief in ghosts, spirits and the power of the witch doctor within the ancient cultures of the Nubia, Buganda, Bunyoro, the Swahili coast, Zulu, Almoravid, Almohad, and the Bantu can be traced back for millennia, cultures that existed hundreds of years before this area even b...

CHF 27.90

Biblia Maoni- Tatu - Bible Commentary - Three

Hinton, Carl
Biblia Maoni- Tatu - Bible Commentary - Three
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15.He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years, at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region.Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia.He has authored and publi...

CHF 19.90

Biblia Maoni - Sita - Bible Commentary - Six

Hinton, Carl
Biblia Maoni - Sita - Bible Commentary - Six
Carl Hinton was baptized into the Christadelphian faith in 1983 at just the age of 15.He has worked in the missionary fields of Tanzania for over 30 years, at one point spending an entire year traveling around from one group of believers to the next. He was able to build and equip an orphanage in the Sumbawanga region.Besides working in Africa, he acts as regional lead for the Christadelphian Bible Mission in Slovenia.He has authored and publi...

CHF 19.50

1 Petro

Hinton, Carl
1 Petro
Hakuna mtu anayejua maisha ya Kristo anahitaji uanzisho wowote kwa Petro - Petro, aliyejaa matumaini na waraka huu inaelezea tabia yake. Neno ka huhimu ni matumaini (1 Petro 1: 3). Tukio la waraka ni kesi iliyotarajiwa, hivyo kutiwa faraja ilikuwa muhimu. Lakini Uhimizo mkuu ulitoka kubadilika kwa Petro mwenyewe. Katika Injili, Petro alimwona Bwana wake akiwa amebadili sura: na pia tunamwona Petro pia akiwa amebadilika kwa neema isiyo na mipak...

CHF 49.90

Masomo YA Wakristadelfia Kwa Njia YA Posta

Hinton, Carl
Masomo YA Wakristadelfia Kwa Njia YA Posta
Masomo haya ya Biblia kwa njia ya Posta, ambayo hapa yamechapishwa kuwa kitabu, yalianza yakiwa ni Kozi ya Masomo 40 ya Msingi ya Biblia, ya Jumuia ya Wakristadelfia duniani. Yakiwa yameandikwa mwanzoni kwa lugha ya Kingereza, yaliandaliwa ili yatoe ufahamu wa kutosha wa Maandiko kwa mtu, kabla hajataka kubatizwa. Baada ya kutumiwa kwa karibu miaka 25 katika Tanzania, imeonekana hayakutosha hasa katika kumwandaa muumini kwa ajili ya maisha map...

CHF 33.50